1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

31.08.2016 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S31 Agosti 2016

Nchini Tanzania kumekuwa na maoni ya kupongeza kufuatia hatua ya Chadema kusitisha maandamano yake/ Gabon: Tume ya uchaguzi Cenap imempitisha Rais Ali Bongo kuwa mshindi wa uchaguzi/ Brazil: Baraza la Senete la Bunge linatazamiwa leo kupiga kura ya kumwondoa madarakani rais Rouseff/ Kenya: Sekta ya Utalii bado inakumbwa na changamoto kufuatia athari za mashambulio ya kigaidi

https://p.dw.com/p/1JtEt