1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Adha wanazopata wagonjwa wa Fistula

Hawa Bihoga6 Juni 2016

Wanawake wanaougua Fistula hushindwa kuzuia mkojo au kinyesi, hali inayowafanya wasijisikie huru kukaa kwenye umati wa watu. Katika "Afya Yako" utasikia visa vya waliopata ugonjwa huo na tiba yake.

https://p.dw.com/p/1J1Qr
Kampeni dhidi ya Fistula Tanzania
Picha: Kizito Makoye

[No title]