1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika- Eneo la ustawi la siku za usoni?

18 Mei 2012

Kwa mara ya kwanza nchini Ujerumani wiki nzima ya mkutano imezatitiwa kwa ajili ya ushirikiano wa kiuchumi baina ya Ulaya na Afrika. Deutsche Welle ni mshirika wa Wiki ya Biashara ya Afrika.

https://p.dw.com/p/14wPJ
Partnerlogo Africa Business Week