1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika Kusini yaadhimisha miaka 20 tangu Nelson Mandela aachiwe huru

11 Februari 2010

<p>Hii leo inaadhimishwa miaka 20 tangu rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, mzee Nelson Mandela, aachiwe huru kutoka jela ya kisiwa cha Robin ambako alizuiliwa kwa miaka 27.

https://p.dw.com/p/LyfN
Nelson Mandela na mke wake Winnie baada ya kuachiwa huru hapo Februari,1990.Picha: AP
Kuachiwa kwake ndio uliokuwa ufunguo wa utawala wa walio wengi nchini humo.

Ili kupata picha halisi ilivyo Afrika Kusini leo, Josephat Charo amezungumza na Bwana Isaac Khomu, mwandishi wa habari na mchambuzi wa maswala ya kisiasa nchini humo na kwanza alikuwa na haya ya kusema.

Mtayarishaji: Josephat Charo

Mhariri: Mohammed Abdulrahman