1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afya yako: Chanjo ya saratani ya shingo ya kizazi Kenya

Thelma Mwadzaya MMT21 Februari 2019

Chanjo ya saratani ya shingo ya kizazi inahitajika katika mataifa mengi kote ulimwenguni kwani inaupunguza uwezekano wa kuupata ugonjwa wenyewe. Mpango wa kutoa chanjo hiyo unatazamiwa kuzinduliwa rasmi mwezi Mei mwaka huu nchini Kenya. Hii ni baada ya kuahirishwa tangu mwaka uliopita wa 2018. Thelma Mwadzaya anautupia macho mpango huo katika makala ya Afya Yako.

https://p.dw.com/p/3Do13