1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Huduma za kiafya kupitia mitandao ya kijamii

Mohammed Khelef
24 Februari 2017

Mitandao ya kijamii inavuuka mipaka yake ya awali ya kuwa majukwaa ya kusalimiana na sasa ni taasisi za kila jambo, zikiwemo huduma za matibabu na ushauri wa masuala ya afya kama ulivyo mfano huu wa Dokta Sajjad Fazel wa Dar es Salaam, Tanzania, ambaye anatumia mitandao hiyo kuendesha kampeni dhidi ya maradhi yasiyo ya kuambukiza.

https://p.dw.com/p/2YBe0