1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kutana na Nelson Mandela

Angela Samwel Mdungu-Jokisch8 Juni 2018

Nelson Mandela ni moja kati ya wapigania uhuru nguli wanaopendwa Afrika. Aliwekwa gerezani kwa takriban miongo mitatu Afrika Kusini, kwa sababu ya kupinga utawala wa watu weupe, lakini baadaye aliibuka kuwa mhubiri wa ujumbe wa amani na uhuru kwa watu wote.

https://p.dw.com/p/2z8hQ