1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ajali ya Meli kwenye mto Ubangi kaskazini magharibi mwa DRC

25 Julai 2008

Watu 42 wamekufa maji na wengine zaidi ya mia moja hawajulikani walipo kufuatia ajali ya Meli kwenye mto Ubangi kaskazini magaharibi mwa DRC.

https://p.dw.com/p/EjcD



Meli hiyo iliokuwa ikitokea nchini Afrika ya kati ilikuwa na abiria 182 raia wa DRC na wa Jamhuri ya Afrika ya kati.Ajali hiyo inatokea siku mbili baada ya nyingine iliotokea kwenye ziwa Tanganyika mashariki mwa DRC.


Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.