1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ajali ya meli yatokea jimboni Equator kwenye Mto Kongo

6 Oktoba 2008

Watu kumi na nne wamekufa na wengine zaidi ya ishirini hawajulikani waliko kufuatia ajali ya meli iliotokea jimboni Equator kwenye Mto Kongo.

https://p.dw.com/p/FUlz

Juhudi za kuwatafuta watu waliopotea zinaendelea.Ajali hiyo imekuja wiki moja bada ya kuitishwa mjini Kinshasa mkutano wa mawaziri wa usafiri wa mataifa ya Afrika ya kati kwa ajili ya kuepusha ajali za ndege na meli kwenye eneo hilo.

Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.