1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ajira kwa watoto bado ni tatizo India

Yusra Buwayhid
12 Juni 2019

Kila mwaka mnamo Juni 12 ni siku ya kupambana na ajira kwa watoto ulimwenguni. Kwa upande wa bara la Asia, watoto wapata milioni 4.4 wa kati ya miaka mitano hadi kumi na nne wanalazimika kufanya kazi nchini India. Hali ikoje katika nchi unayoishi?

https://p.dw.com/p/3KFs5