1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

"Alama za Mapenzi"

John Juma
3 Julai 2017

"Alama hizo ziko kila mahali mwilini mwake, mikononi, shingoni hadi usoni. Kila anapoziangalia kwenye kioo pale baba ameenda kazini, yeye hulia na kuniambia nizifunike kwa vipodozi. Baba ndiye humpa hizo alama! Lakini mama anaziita 'Alama za Mapenzi'!" Tazama vidio hii aina ya vibonzo ujue alama hizo ni zipi?

https://p.dw.com/p/2for2