1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Aliyekuwa rais wa Burundi Domicien Ndayizeye ameonana na Hussein Rajabu gerezani

16 Septemba 2008

Rais wa zamani wa Burundi Domicien Ndayizeye ameonana na Hussein Rajabu gerezani.

https://p.dw.com/p/FJG0
Domitien NdayizeyePicha: AP

Bw. Domicien Ndayizeye amekuwa kiongozi wa kwanza kabisa wa kisiasa nchini Burundi kwenda kumuona Hussein Rajabu anakozuiliwa katika gereza kuu la Mbimba mjini Bujumbura kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.

Ziara yake hiyo imezusha tafsiri tafauti miongoni mwa wananchi wa Burundi kama anavyoripoti hapa Hamida Issa kutoka Bujumbura.