1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Amnesty International yataka wanajeshi Myanmar wafikishwe ICC

Mohammed Khelef
27 Juni 2018

Shirika la haki za binaadamu la Amnesty International limechapisha ushahidi mpya unaoonesha ukatili unaofanywa dhidi ya jamii ya Rohingya nchini Myanmar, ikiwa na majina 13 ya makamanda wakuu wa kijeshi ambao linasema lazima washitakiwe kwa uhalifu dhidi ya ubinaadamu. Papo kwa Papo 27 Juni 2018.

https://p.dw.com/p/30Nig