1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Apps zinatengenezwa kusudi kukunasa mtumiaji

Yusra Abdallah Buwayhid14 Agosti 2019

Katika Sema Uvume utasikia jinsi App inavyowasaidia wakulima Ghana kuuza mazao kiurahisi. Lakini Apps pia hutengenezwa kusudi kuwanasa watumiaji wawe tegemezi. Ukijikuta huwezi kuachana na simu yako, ujuwe hiyo ndiyo sababu.

https://p.dw.com/p/3NsNQ