1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Armin Laschet na sera yake ya mambo ya nchi za nje

Harrison Mwilima21 Januari 2021

Kitendawili cha nani atakayekuwa kiongozi wa chama cha kihafadhina cha Kansela wa Ujerumani Angela Merkel kimeteguliwa kufuatia ushindi wa Armin Laschet ambaye ni Waziri Mkuu wa jimbo la North-Rheine Westphalia, lililopo magharibi mwa Ujerumani. Sura ya Ujerumani inaangazia será ya Laschet ya mambo ya nje itakavyoweza kuwa kuelekea bara lake la Ulaya na pia barani Afrika. Harrison Mwilima asimulia

https://p.dw.com/p/3oFFy