1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Asubuhi: 21.07.2018 Taarifa ya Habari Saa 12:00

John Juma
21 Julai 2018

Chama cha Hamas kimetangaza kufikia makubaliano na Israel ya kusitisha mashambulizi katika Ukanda wa Gaza. //Marekani imemtaka kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un kutimiza ahadi yake ya kuachana na silaha zake za nyuklia.// Waasi 2,800 wa Syria pamoja na familia zao wameondoka katika mkoa wa kusini magharibi mwa Quneitra

https://p.dw.com/p/31qoG