Athari za kimazingira Ziwa Tanganyika

Sasa moja kwa moja
dakika (0)
01.02.2017

M M T/ J2.01.02.2017L.Tanganyika - MP3-Stereo

Shughuli za kibinadamu ni miongoni mwa kitisho chenye kuathiri ziwa hilo la pili kwa ukubwa Afrika lenye viumbe na mimea zaidi ya 1,500 ambavyo zaidi ya asilimia 40 havipatikani kwingine popote duniani.

Hayo ni kwa mujibu wa shirika la kimataifa la kutunza mazingira la Global Nature Fund, GNF. Sudi Mnette amezungumza na Professor Pius Nyanda kutoka Dar es Salaam ambaye ametoa ufafanuzi zaidi.

Makala zaidi

Mada Zinazohusiana

Tufuatilie