1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Athari za kuongezeka kiwango cha maji Baharini

Faiz Musa Abdallah/MMT14 Juni 2019

Viwango vya maji ya baharini kote ulimwenguni vimekuwa vikiongezeka karne kwa karne ila katika miaka kumi iliyopita kasi ya ongezeko hili imezidi ambapo mwaka wa 2017 bahari iliongezeka kwa inchi 3, hii ikiwa ni zaidi ya kiwango cha wastani kilichotabiriwa mwaka 1993. Unafahamu athari zake? Faiz Mussa anakufahamisha kwenye makala ya mtu na mazingira

https://p.dw.com/p/3KT3o