1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Baraza jipya la Uhispania laapishwa likiwa na wanawake wengi

Daniel Gakuba
7 Juni 2018

Baraza jipya la mawaziri la Uhispania, ambalo asilimia 65 ya mawaziri wake ni wanawake, limekula kiapo mjini Madrid leo Alhamis. Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo Pedro Sanchez, amesema linawakilisha kilicho bora kabisa katika jamii ya nchi hiyo. Kiapo hicho kimechukuliwa mbele ya mfalme wa nchi hiyo, Felipe VI.

https://p.dw.com/p/2z4yw