1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Baraza la Usalama lajadili shambulizi la sumu Syria

Sudi Mnette
10 Aprili 2018

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa huenda likapiga kura mapema leo kuhusu maazimio kinzani ya Marekani na Urusi ya kuchunguza mashambulizi ya silaha za sumu nchini Syria. Zaidi tazama vidio ifuatayo

https://p.dw.com/p/2vlwu