1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Baridi ni kali mno eneo la Yakutia, Urusi

18 Januari 2018

Kiwango cha baridi kimepanda mno katika eneo la Yakutia huko Urusi hata kope zinaganda na kushika barafu. Jacob Safari anakuelezea kuhusiana na hali hiyo ya baridi katika vidio ifuatayo.

https://p.dw.com/p/2r494