1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Barua kwa Twaweza yaibua maswali

12 Julai 2018

Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania, COSTECH, imekiri kuiandikia taasisi ya utafiti nchini humo, Twaweza, barua ya kutaka ijieleze na kusema inasikitishwa kuona mawasiliano halali ya kiofisi yakipelekwa mitandaoni.

https://p.dw.com/p/31KU8
Amos Nungu, Zainab Bakari und Mashuhuri Mwinyihamis wa COSTECH
Picha: DW/E. Boniphace

J2 12.07.2018 Twaweza - MP3-Stereo