1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bernie Sanders ampigia debe Hillary Clinton

26 Julai 2016

Bernie Sanders ataka Democrats wamchague Hillary Clinton kama mgombea rasmi wa urais wa chama, watu 19 wauawa Japan katika shambulio la kisu katika kituo cha walemavu, na Padri mmoja auawa Ufaransa baada ya kanisa lake kuvamiwa na watu wawili waliojihami kwa silaha. Papo kwa Papo 26.07.2016

https://p.dw.com/p/1JWAJ