Besigye: Tuna ushahidi kwamba tulishinda

Sasa moja kwa moja
dakika (0)
12.04.2016

Kiongozi wa upinzani Uganda, Kizza Besigye, amekutana na wanachama wenzake baada ya kuwa kwenye kifungo cha nyumbani kwa siku 55. Katika mahojiano na DW amesema yeye ndiye mshindi wa uchaguzi mkuu.

Tufuatilie