1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Biashara ya uandishi wa tafiti katika vvuo vikuu

Bruce Amani
23 Aprili 2019

Unataka kufanyiwa andiko lako la kitaaluma? Basi unaweza kuwapata watu watakaofanya kazi hiyo. Maeneo ya vyuo vikuu, biashara hiyo imeshamiri, unatoa pesa, unaandikiwa andiko la utafiti. Lakini hiyo inahatarisha kiwango cha elimu kwasababu wasomi hawafanyi utafiti na badala yake wanajali zaidi maksi. Bruce Amani anautizama mtindo huu wa maisha.

https://p.dw.com/p/3HGwH