1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Brussels. Mawaziri kuijadili Palestina.

5 Machi 2007
https://p.dw.com/p/CCMB

Mawaziri wa mambo ya kigeni wa umoja wa Ulaya wanakutana leo kwa mazungumzo yatakayolenga katika juhudi za Wapalestina za kuunda serikali ya umoja wa kitaifa, kufuatia kushindwa kwa duru ya hivi karibuni ya majadiliano baina ya kundi la Fatah na lile la Hamas.