1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bunge lamuunga mkono Kenyatta kodi ya mafuta

Lilian Mtono
19 Septemba 2018

Wabunge nchini Kenya wameafikiana kuunga mkono mapendekezo ya Rais Uhuru Kenyatta ya kupunguza kodi kwenye bidhaa za mafuta kutoka asilimia 16 hadi nane.

https://p.dw.com/p/356wa