1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Salamu na Muziki na Veronica Natalis

Veronica Natalis
27 Mei 2018

Salamu ni sehemu muhimu katika maisha ya jamii. Hukuwezesha kuwajulia hali uwapendao na kujenga urafiki na ujirani mwema. Kipindi cha Salamu na Muziki hukujia kila siku ya Jumapili katika matangazo yetu ya mchana. Kama kipindi cha leo Jumapili 27 Mei 2018 kimekupita kisikilize hapa.

https://p.dw.com/p/2yP1c