1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Burundi yasaini kujiondoa ICC

Yusra Buwayhid
19 Oktoba 2016

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, asaini agizo la kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC). Mke wa rais wa Syria,Asma al-Asaad, avikosoa vyombo vya habari vya nchi za Magharibi. Gari ya polisi Ufilipino yakanyaga wanafunzi wlaiokuwa wameandamana.

https://p.dw.com/p/2RR3G