1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CCM Zanzibar wajiandaa kwa uchaguzi mpya

Admin.WagnerD28 Desemba 2015

Chama Cha Mapinduzi-CCM, visiwani Zanzibar kimewataka wafuasi wake na wananchi kwa ujumla kujianda kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa marudio visiwani humo.

https://p.dw.com/p/1HUSa
Sansibar CCM Jugendmitglieder Wahlkampagne
Picha: DW/M. Khelef

Kauli hiyo ya CCM imetolewa huku kamati maalum ya kuutatua mkwamo wa kisiasa Zanzibar ikiendelea na mazungumzo ya kutafuta suluhu na chama hicho kikisema kinaridhia mazungumzo hayo.

Grace Kabogo anazungumza na mchambuzi wa masuala ya kisiasa visiwani Zanzibar, Omar Said Shaaban kutaka kufahamu kauli hizo zina maana gani kwa wananchi wa Zanzibar.

Kusikiliza mahojiano kati ya Grace na Omar Said Shaaban kwa kubonyeza alama ya kisikilizio hapo chini.

Mwandishi: Grace Kabogo
Mhariri: Mohammed Khelef