1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CCM yadaiwa kuishinikiza ZEC kutangaza tarehe ya uchaguzi

Mjahida 17 Desemba 2015

Visiwani Zanzibar zimezagaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii kwamba kuna baadhi ya wanasiasa wa chama tawala CCM ambao wanaishinikiza Tumeya Uchaguzi visiwani humo ZEC itangaze tarehe ya uchaguzi.

https://p.dw.com/p/1HOwt
Sansibar Vuai Ali Vuai
Picha: DW/M. Khelef

[No title]