1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chama cha CUF pia chatangaza kutoshiriki uchaguzi

12 Novemba 2019

Chama kingine cha upinzani CUF nchini Tanzania, pia kimetangaza leo kuwa hakitashiriki uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika baadaye mwezi huu. Sawa na vyama vingine vikuu vya upinzani vilivyojiondoa kwenye uchaguzi huo, chama cha CUF kimedai kuwa hakuna haki na usawa.

https://p.dw.com/p/3St1l