1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Changamoto za kupata vitambulisho vya kitaifa Kenya

Michael Kwena/MMT28 Agosti 2020

Vijana wengi wa jimbo la Isiolo nchini Kenya wamekuwa na changamoto ya kupata vitamvbulisho vya kitaifa. Lakini sasa serikali imeanzisha tena mchakato wa kutoa waraka huo muhimu. Sikiliza makala ya Vijana Tugutuke na Michael Kwena

https://p.dw.com/p/3heMS