1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Changamoto za tafsiri ya Kiswahili kwenye Google

Mohammed Khelef
21 Machi 2018

Je, unautegemea mtandao wa Google kufanya tafsiri kutoka lugha moja ya kigeni kuja kwenye Kiswahili? Unauamini kiasi gani? Dk. Hadija Jilala wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania anazungumza na Mohammed Khelef kwenye wasaa huu wa Kiswahili Kina Wenyewe juu ya changamoto za tafsiri ya Google kwa watumiaji wa Kiswahili.

https://p.dw.com/p/2ug4G