1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Cheza Mpira Vaa Mpira

Josephat Charo
15 Januari 2019

Vijana wa kisiwa cha Pate katika kaunti ya Lamu washiriki mradi wa kupambana na magonjwa ya zinaa na kuzuia mimba za mapema unaoratibiwa na shirika la Safari Doctors. Jiunge na Thelma Mwadzaya katika kipindi cha Vijana Tugutuke.

https://p.dw.com/p/3BUP5
Kenia Fussballturnier "Cheza mpira vaa mpira - Youth Cup - Road to Safety"
Vijana wachezaji kandanda kutoka Lamu wakiwa wametulia mbele ya kombePicha: DW/T. Mwadzaya
Kenia Fussballturnier "Cheza mpira vaa mpira - Youth Cup - Road to Safety"
Kijana mdogo mchezaji wa soka akisimama kando ya kombePicha: DW/T. Mwadzaya
Kenia Fussballturnier "Cheza mpira vaa mpira - Youth Cup - Road to Safety" | Fahmy Mahir
Fahmy Mahir, kocha wa timu ya Safari Doctors akisimama kando ya kombe laoPicha: DW/T. Mwadzaya