1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CUF yakamilisha kampeni zake

28 Oktoba 2010

Leo Chama cha Wananchi , CUF, huko Tanzania kinakamilisha kampeni zake za uchaguzi wa urais , ubunge na wa madiwani katika nchi hiyo kwa upande wa Bara.

https://p.dw.com/p/Pr04
Profesa Ibrahim Lipumba wa chama cha CUFPicha: Mohammed Khelef

Watakuwa na mkutano wa hadhara mjini Dar es Salaam ambao utahutubiwa na mtetezi wa urais wa chama hicho kwa urais wa Jamhuri ya Muungano, Profesa Ibrahim Lupumba, na pia mtetezi wa chama hicho kwa urais wa Visiwani Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad.

Mwenzangu Othman Miraji muda mfupi uliopita alifanya mahojiano kwa njia ya simu na Profesa Lupumba...vipi anatathmini kampeni yake, imekwenda vipi?

Interview Othman/Ibrahim Lupumba

Mhariri:Aboubakary Liongo

Na huko Zanzibar Tume ya Uchaguzi ya leo ilikuwa na mkutano kuwaarifu waangalizi wa ndani na nje kuhusu walikofikia katika matayarisho ya uchaguzi mkuu unaowadia jumapili hii ijayo.

Kutoka visiwani Zanzibar Mohamed Abdulrahman ametuletea ripoti ifuatayo:

Mwandishi Maryam Abdalla

Mhariri: Miraji Othman