1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CUF yatetea uchaguzi wa kaimu Katibu Mkuu

7 Machi 2017

Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Wananchi CUF, Magdalena Sakaya, ametangazwa kukaimu nafasi ya Katibu Mkuu Maalim Seif Sharif Hamad kwa maelezo kuwa Maalim Seif ameshindwa kutekeleza ipasavyo majukumu yake ya kazi.

https://p.dw.com/p/2YkrP
Ringen um neue Verfassung in Tansania
Picha: DW/M.Khelef

J2.07.03.2017_ Interview CUF- Abdul Kambaya - MP3-Stereo

Naibu Mkurugenzi wa habari na uenezi wa chama hicho, Abdul Kambaya, ameiambia DW kwamba uteuzi huu si wa Mwenyekiti wa Chama, Prof. Ibrahim Lipumba, bali ni mwongozo wa katiba ya chama.