1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dawa ya kuzuia maambukizi ya HIV

24 Machi 2017

Serikali ya Kenya itazindua dawa mpya zinazoaminika zitaweza kupunguza hatari ya mtu mwenye mpenzi aliye na virusi vya UKIMWI kuambukizwa. Dawa hiyo inaitwa PrEP ama kwa kirefu Pre-exposure Prophylaxis.

https://p.dw.com/p/2ZsUN
Daktari Sarah Masyuko akitambulisha kidonge cha PrEP
Picha: DW/B. Maranga

FE:Gesundheit 23/27/30.03.2017 PreP Kenya - MP3-Stereo

               

Ibrahim Lwingi, mtumiaji wa dawa ya PrEP
Ibrahim Lwingi, mtumiaji wa dawa ya PrEPPicha: DW/B. Maranga