1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dhana ya demokrasia kuelekea uchaguzi Tanzania

Admin.WagnerD15 Septemba 2015

Jumanne 05.09.2015 dunia iliadhimisha siku ya demokrasia, amayo ni siku iliyochaguliwa na Umoja wa Mataifa kushajiisha demokrasia duniani.

https://p.dw.com/p/1GWkY
North Mara Gold Mine in Tansania Helen Kijo-Bisimba Direktorin LHRC
Picha: DW/J. Hahn

Katika maadhimisho ya siku ya “Demokrasia Duniani” Jumanne tarehe 15.09.2015, Sudi Mnette anazugumza na mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binaadamu nchini Tanzania, Helen Kidjo Bisimba kuhusu hali ya demokrasia nchini Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba, na eneo la maziwa makuu kwa ujumla.

Sikiliza mahojiano kwa kubonyeza alama ya kisikilizio hapo chini.