1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dhulma na unyanyasaji wa wanawake kazini

Thelma Mwadzaya/ MMT8 Oktoba 2019

Takwimu zinaonyesha kuwa mwanamke mmoja kati ya watatu amewahi kukumbana na dhulma za kijinsia maishani.Utafiti umebaini kuwa dhulma na unyanyasaji husababisha ulemavu na vifo vingi zaidi ikilinganishwa na saratani na magonjwa mengine yoyote. Thelma Mwadzaya anaangazia hayo kwenye makala Wanawake na Maendeleo

https://p.dw.com/p/3Qsjl