1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dk. Mvungi azungumzia mwenendo wa uchaguzi

13 Oktoba 2010

Miongoni mwa vyama vikongwe vya kisiasa nchini Tanzania ni NCCR-Mageuzi, ambacho kiliwahi kuwa chama kikubwa cha upinzani kuelekea uchaguzi wa 1995. Dk. Sengondo Mvungi ni mwasisi wa chama hiki

https://p.dw.com/p/PCYO
Vijana wakiangalia majina yao katika Orodha ya Wapigakura nchini Tanzania
Vijana wakiangalia majina yao katika Orodha ya Wapigakura nchini TanzaniaPicha: DW

Katika kutaka kufahamu jinsi vyama vya kisiasa vinavyoendelea na harakati hizo za kampeni Grace Kabogo alizungumza na Dk. Edmund Sengondo Mvungi, mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama cha upinzani cha NCCR-Mageuzi, ambaye alianza kuelezea mchakato mzima wa kampeni za chama hicho.

Mahojiano: Grace Patricia Kabogo/Dr. Sengondo Mvungi

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman