1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dondoo za Afrika katika magazeti ya Ujerumani

Khelef Mohammed19 Februari 2021

Tuangazie yale yaliyopewa umuhimu na magazeti ya Ujerumani kuhusiana na bara la Afrika kwa juma hili linalomalizika, ikiwa ni pamoja na: Kesi ya ufisadi inayomkabili rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, hali ya kisiasa nchini Uganda na Paul Rusesabagina wa Rwanda ambaye kwa sasa anakabiliana na mashitaka ya ugaidi na uasi kwenye mahakama mjini Kigali.

https://p.dw.com/p/3pc7D