1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC: Operesheni dhidi ya Waasi wa Uganda zaendelea

22 Januari 2014

Operesheni dhidi ya waasi wa Uganda zikiwa zinaendelea katika Beni mashariki mwa Kongo, raia wamelalamika kwamba hawajakiona kikosi cha Umoja wa mataifa kuingilia kati kufanya kazi bega kwa bega na jeshi la Kongo.

https://p.dw.com/p/1AvBF
Operesheni dhidi ya waasi wa Uganda ADF-NALU,Beni.
Operesheni dhidi ya waasi wa Uganda ADF-NALU,Beni.Picha: Reuters/Kenny Katombe

Kamanda wa kikosi cha Umoja huo wa mataifa cha kuingilia kati Jenerali James Mwakibolwa alitembelea mji wa Beni na kujitetea kuhusu utendaji kazi wa kikosi chake. John Kanyunyu na ripoti kamili kutoka Beni.

Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: John Kanyunyu

Mhariri: Josephat Charo

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi