1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sheria na Haki

DRC: Wananchi walivyopokea kuachiwa kwa Bemba

13 Juni 2018

Wafuasi wa chama cha MLC cha Jean Pierre Bemba wamepongeza kuachiliwa kwa masharti kwa kiongozi wao na mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC. Nao viongozi wa upinzani na chama tawala wameelezea pia kuridhishwa.

https://p.dw.com/p/2zSUR
Jean-Pierre Bemba
Picha: picture-alliance/dpa/J. Lampen

J2.13.06.2018 Freillasung Bembas - MP3-Stereo