1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Duale asema ataachana na siasa ikiwa Ruto atashinda urais

Thelma Mwadzaya 14 Agosti 2019

Wanasiasa nchini Kenya wanaendelea kurushiana maneno kuhusu mageuzi ya katiba na watakaowania urais mwaka 2022. Kiongozi wa chama tawala bungeni Aden Duale amesema ataachana na siasa ikiwa Naibu wa Rais William Ruto atashika hatamu kuiongoza nchi.

https://p.dw.com/p/3Nse7