1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DW sasa moja kwa moja kupitia Telegram

10 Septemba 2019

Sasa shabiki wa DW popote pale ulipo unaweza kupokea habari, picha, vidio na sauti zenye ujumbe wa kukuchangamsha moja kwa moja kwenye simu yako ya mkononi kupitia huduma ya DW Telegram.

https://p.dw.com/p/3PLjy
Telegram-Messenger-App
Picha: picture-alliance/dpa/TASS/A. Shcherbak

Huduma hii ni mpya na haina malipo yoyote kupitia mtandao wa Telegram. Ni rahisi sana kujiunga na huduma hii. Unachohitaji ni simu yako tu yenye huduma ya intaneti na pia Telegram.

Baada ya hapo, bonyeza kiungo hiki: https://telegram.me/dw.kiswahili na moja kwa moja unaweza kujiunga na huduma yetu ya DW Telegram.

Baada ya hapo, unakuwa mmoja wa watu wanaopokea ujumbe kutoka kwetu kila tunapotuma taarifa mpya.

Kuwa mmoja wa marafiki zetu kwenye jamii ya DW Telegram, uwe karibu kabisa na habari mpya na ujumbe wa moja kwa moja kwenye simu yako. DW iko nawe popote ulipo.

Mueleze na rafiki yako kwa kumtumia kiungo chetu hapo juu. Huduma hii ni ya bure kabisa.