1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Francophonie yasimamisha uanachama wa Burundi

Elizabeth Shoo8 Aprili 2016

Jumuiya ya nchi zinazozungumza Kifaransa imefikia uamuzi huo kufuatia kudorora kwa hali ya usalama na ukiukwaji wa haki za binadamu. Aidha, inataka kushinikiza serikali ijadiliane na wapinzani.

https://p.dw.com/p/1IRpa
Wanajeshi wa Burundi (C) Getty Images/S. Platt
Picha: Getty Images/S. Platt

[No title]