1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

George Weah achaguliwa kuwa rais wa Liberia

Zainab Aziz
29 Desemba 2017

George Weah ashinda uchaguzi wa urais Liberia na wafuasi wake washerehekea kwa nderemo na vifijo. Kansela wa Ujerumani Angela Merkel akabiliwa na shinikizo la kisiasa wengi wamtaka asihudumu muhula wa nne.China yapiga marufuku biashara ya pembe za Ndovu na bidhaa zake.

https://p.dw.com/p/2q7AJ