1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ghasia nchini Ugiriki kufuatia kuuwawa kwa kijana mwenye umri wa miaka 15

8 Desemba 2008

Nchini Ugiriki mapambano kati ya polisi na waandamanaji yameingia siku ya tatu katika miji kadhaa nchini humo kufuatia kuuawa kwa kijana mmoja aliye na umri wa miaka 15.

https://p.dw.com/p/GBmM
Waandamanaji wafanya ghasia mjini ThessalonikiPicha: AP

Kijana huyo aliuliwa na polisi mwishoni mwa wiki iliyopita.Wakati huohuo Waziri Mkuu wa Ugiriki Costas Cramanalis amesisitiza kuwa serikali yake inatia juhudi zote kumaliza vurugu hizo.

Ili kupata picha kamili huko Ugiriki Thelma Mwadzaya amezungumza na Kayu Ligopora mkaazi wa mji wa Athens.