1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Haki za Watoto – Kipindi 02 – Nguvu kazi ya Watoto

22 Machi 2011

Kuwatumikisha watoto ni mada tete inayojadiliwa sana. Leo, tunakwenda Mali kukutana na kijana wa shule na mfanyakazi, mmiliki wa karakana, na mwanachama wa shirika la kazi la kimataifa, ILO, kuyasikia maoni yao.

https://p.dw.com/p/Qqu3